LOVE Nini maana ya mapenzi

Mapenzi ni kitu ambacho kinaweza kuwakutanisha watu wawili na kuunganisha mawazo ya o yakawa kiyu kimoja at the same time. Unajuaa nini mapenzi ni kitu kizuri kama kila mmoja atakuwa ana maanisha mapenzi ya kwli kwa mweza wake tuna shuhudia hayo kwa wazazi wetu pia kwa jamii inayotuzunguka . Lakini zama za sasa mapenzi yamekuwa tofauti kabisa yamekuwa ni kama biashara ,maonesho, kuaibishana kuumizana mpaka kuuwana na kudhalilishana . Sijui ni utandawazi uliokisiri au ni nini kimesababisha but siezi kuelezea mapenzi ambavyo yamekuwa kwa dunia ya sasa ni tofauti na zamani ya sasa yamejaa usaliti wa kutisha  ki ufupi dunia ya sasa haina mapenzi kabisa .

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author