CHOZI LA DAMU 1

 

STORI: CHOZI LA DAMU EP 1

 

John anapenda sana kutumia wanawake na kuwaacha bila kujali hisia zao kwake. Simu inaita....(Darya anapiga) .kabla John hajaipokea anajiuliza ni kitu gani kilimfanya Darya ampigie simu asubuhi ile...

👨 Hujambo Darya

👩 Hello John habari yako

👨 Salama, lakini sio kawaida kunipigia simu asubuhi kama hii, ni salama?

👩 Sio sana mpenzi, niliota ndoto mbaya sana jana usiku, lakini pia nilikukumbuka.

👨 Pole mpenzi basi naomba tuonane uniambie umeota nini

👩 Sawa Baby nitakuona saa ngapi?

 

👨 Leo ni wikendi tonane Palm Beach

👩Sawa, kwaheri

.××××××PALM BEACH×××××××

 

Darya alifurahi sana akijua wazi kuwa ulikuwa ni muda wa kukutana na mpenzi wake John, Akiwa amekaa kwenye gari lake huku akisubiri, Alimpita mwanamke mmoja aliyekuwa akitembea kwa kasi sana huku eneo kubwa la mwili wake akiwa uchi,

 

.darya akahisi anamfahamu yule mwanamke, akashusha kioo, kabla hajapiga simu akakumbuka kitu kilichomshtua......HAKIKA HUYU MWANAMKE NDIYE NILIMUONA ANAOTA! INA MAANA NDOTO INAENDA KUTIMIA, SIWEZI KURUHUSU JOHN WANGU AUWAWE NA HUYU MZINZI!

muda huo Darya alishuka na kumpigia simu mpenzi wake lakini John hakupokea, ikabidi Darya amfuate mwanamke huyo kimya kimya ili kujua anaelekea wapi. Hakuweza kuamini! kumuona mpenzi wake John akizama kwenye maji na warembo wa mwanamke huyo huku akicheka kwa dharau.

 

.john: tafadhali msaada!... Tafadhali..

 

 Unajua sababu ya ukatili wa John? Huu ulikuwa ni utangulizi tu wa Usikose Kipindi cha Pili.

 

 

 

 

 

.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author