Mapenzi ni mazuri sana ukimpata anayekupenda ,japokuwa Kuna changamoto kubwa sana kwa sisi binadamu kwani tunatumia muda mwingi kuumiza mioyo yetu kuwapenda wasio tupenda na kulazimisha wawe wanatupenda.badala ya kutumia nguvu zetu kuelekeza kwawanaotupenda.pia ukitumia moyo kupenda badala ya akili mapenzi yatakuumiza sana na utajutakupenda.
You must be logged in to post a comment.