Umaskini wa .marafiki.

Ili kuwa na mafanikio inahitaji uwe na watu wazuri au waminifu.kwa maana hakuna mtu anayefanikiwa akiwa peke yake bila kuwa na mahusiano na watu au mtu au jamii nyingine. Watu waliowengi wanashindwa kufanikiwa ni kwa sababu ya kukosa watu waminifu au wazuri maana Kila unayemwamini wewe anakuwa taperi anaishia kukufirisi na kukurudisha nyuma kimaendeleo. Hivo basi umaskini wa marafiki ni kuunganishwa na marafiki wabaya ambao ndio chanzo kikubwa Cha kuangamiza hatima ya maisha yako. Mfano kwenye bibilia tunajifunza ya kwamba" ili daudi awe mfalme mungu alimuunganisha na yonathani ili aje kuwa mfalme.kwani bila ya yonathani daudi asingekuwa mfalme hata Kama amepakwa mafuta yote hayo ni kutokana alihitaji mtu wa kumahika mkono na kumfikisha kwenye kiti chake Cha ufalme. 1 Samweli 18:3 Angalia marafiki wako ulionao ndipo unapoweza kutambua kuwa no marafiki wa namna ipi ,wakukupa mafanikio au wa kukwamisha maranikio yako.mwombe sana mungu akupe watu waliosahihi kwako.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author