Watu wengi wanna karama nzuri ,vipawa vizuri lakini wameshindwa kwenye tabia.watu wengi wanafukuzwa kazi kwa sababu yatabia zao mbaya,na wengine wamepewa majina kutokana na tabia zao mbaya . Tabia yako ndiyo inayokutambulisha kwa watu. Tabia yako ndiyo itakayokupakibari Cha kuwepo mahali flani. Tabia yako ni wakati upo peke yako Yale unayoyafanya au kutenda wakati wengine hawakuoni. Tabia yako ndiyo itakayokufanya uendelee kuwa maskini au tajiri. Tabia yako au mwenendo wako utakao kufanya uheshimiwe au udhauriwe . Chaguo lipo na wew binafsi kwa kuamua uwe mtu wa namna gani kwani kiungo au udhaifu wa viungo vya mwili havibadiliki ila tabia ya my inaweza kubadilika kulingana na mazingira au madhari.
You must be logged in to post a comment.