Axweso Massay
Jan 18, 2022, 5:25 PM
Jan 18, 2022, 5:25 PM
Hizi ni faida ya kukaa kimya katika maisha ya kila siku.
-Kuongeza uwezo wa kufikiri na kutoa mawazo yenye mafanikio.
-Kuwa mtu mwenye mafanikio zaidi
- Kupendwa na watu na kuepuka malumbano.
- Kutatua matatizo kwa haraka na usahihi.
- Kuwa na akiba ya kila kitu katika maisha yako.
-Husaidia kudumisha sifa nzuri katika jamii.
- Kuwa msingi imara katika maisha ya kumtumikia Mungu.
- Husaidia Kuwa mvumilivu na mkarimu
- Kupenda kusikiliza na kuwasikiliza watu kuliko Kuwa mwongeaji.