*ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUKAA KIMYA.*
-Kuongeza uwezo wa kufikiri na kutoa mawazo yenye mafanikio.
-Kuwa mtu mwenye mafanikio zaidiĀ
- Kupendwa na watu na kuepuka malumbano.
- Kutatua matatizo kwa haraka na usahihi.
- Kuwa na akiba ya kila kitu katika maisha yako.
-Husaidia kudumisha sifa nzuri katika jamii.
- Kuwa msingi imara katika maisha ya kumtumikia Mungu.
- Husaidia Kuwa mvumilivu na mkarimu
- Kupenda kusikiliza na kuwasikiliza watu kuliko Kuwa mwongeaji.
- Kuwa na ubunifu au kukuza kiwango cha ubunifu wako.
- -Kusimamia malengo yako.
- Kuimarisha ubongo na kupunguza tatizo la mahonjwa ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu.
- Ni tiba sahihi katika mahusiano na ndoa.
Good
How can we grow?
Kweli kabisa
Man your write
Any did advantages
You must be logged in to post a comment.