DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI MAHABA.

26.kuchumbiwa na watu wanaopenda ngono tuu . 27.kuwa ni mtu unayebakwa mara kwa mara. 28. Wazazi kupinga chaguo la mwenzi wako na huku umri umeshakwenda. 29.kutokea kwa kifo Cha mme huku ukiwa na mimba ya Kwanza. 30.kupoteza au kufukuzwa kazi Mara baada ya kuoa 31.kutokuwa na uwezo wa kujamiana na mwenzi wako. 32.kumwona mke wako ni mkubwa kuliko umri halisia 33.kuwa na hasira kuhusu mambo ya ndoa 34.kukataliwa na wake 35.kuwa na tabia za ajabuajabu 36.kusingiziwa mambo ambayo hujafanya 37.kutokuwa na uwezo wa kutawala kuhusiana na mambo ya ngono au mapenzi 38.kuamka umechoka Mara nyingi. 39. Kuzaa na wanaume au wanawake tofautitofauti 40.kufiwa na mchumba huku mkiwa mmeshaoanga tarehe ya ndoa 41.kuvaa hovyohovyo 42.kupata maumivu makali sana wakati ukiwa kwenye hedhi. 43.kupata magonjwa ya ajabuajabu ya UZAZI 44.kupoteza Pete za ndoa baada ya siku chache za ndoa 45.kuona vitu vya ajabu ajabu ukiwa gizani.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author