DALILI ZA MTU MWENYE MAJINI MAHABA.

1.mfarakano katika ndoa 2.kufanya mapenzi kwenye ndoto. 3.kuchukia ndoa 4.kuchumbiwa na mtu alafu anakuacha ghafla 5.kuwa na maamuzi mabaya. 6.kukataliwa na watu wa njisia tofauti na yako. 7.kuota ndoto za kutisha 8.kuota unaogolea 9.kuota ukiwa haungii kwenye siku za wanawake au hedhi. 10.kuota una mimba na ungali huna ujauzito kwa wakati huo. 11.kuota unanyonyesha. 12.kuota umebeba mtoto mgongoni. 13.kuota unafamilia na huku ungali hujaoa au kuolewa. 14.kuota unanunua vitu na mwanamke au mwanaume 15.kuota umelala na mwanaume au mwanamke kitandani. 16.kuchukiwa na mchumba au mwenzi wako. 17.kuwa na matatizo makubwa ya UZAZI 18.mimba kuharibika mara baada ya kuzini na mtu kwenye ndoto 19.kuota unafunga ndoa 20.kujutia ndoa yako mara kwa mara. 21.kutokuwa na mshikamano na mwenzi wako wa ndoa 22.kuota ni tajiri na huku uhalisia ni maskini 23.kutochumbiwa kabisa 24.kushambuliwa na kuwashwa na vipele mwili mzima . 25.kuchumbiwa na watu wasio wa dhati.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments
Juma ngavo - Feb 6, 2022, 6:45 AM - Add Reply

Nice work

You must be logged in to post a comment.

You must be logged in to post a comment.

About Author