DALILI ZA MTU MWENYE ROHO YA ZINAA

1.kuwa na hamu kubwa ya kufanya ngono 2.Huwezi kuridhika na mke au mme mmoja 3.kutawaliwa na mawazo ya kuzini Kila mara. 4.Ni mtu anayependa kuangalia picha za ngono au magazeti ya ngono. 5.Ni mtu anayependa sana kuxhezea viungo vyake vya Siri na kujisisimua Kila mara. 6.Ni mtu ambaye Mda mwingi huota ndoto anazini na wanyama ,wanawake au wanaume 7.Ni mtu anayeteswa na umaskini wa pesa kwa sababu muda mwingi anatumia kuwaza zinaa kuliko kutafuta pesa.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments
Ocansey Amos - Feb 8, 2022, 10:16 PM - Add Reply

Nice post

You must be logged in to post a comment.

You must be logged in to post a comment.

About Author