Dawa ya Bawasiri

Jitibie Bawasiri ukiwa nyumbani.

 

1. Tafuta mizizi ya mpera kiasi Cha nusu kilo.

2. Tafuta limao 30

3. Ichemshe mizizi yako ya mpera, na ule mchuzi wake utauchanganya na limao moja kwenye kikombe Kila unapo kunywa, na uinywe kikombe kimoja asubuhi na jioni kikombe kimoja pia, kwa muda was mwezi mmoja, utapona kabisa hata Kama ulikuwa na uvimbe mkubwa. 

 

Fanya hivyo utapona inshallah

Asante...

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author