Imani ..

Kuna wakati wa kulia kucheka kulala kuamka but also kuna imani ya Kiungu na imani ya kishirikina 

         Sijajua wewe unaamini wapi nilisha sikia mtu amemka amelala chooni yote hii husababishwa na imani 

Nipo hapa kuku ambia kuamini haina shida ila usiweke imani yako kwenye mamvo yasiyo faaa nakushauri kuamini katika maisha yako katika kazi yako ili kufaninikiwa maaba bila imani haiwezekani kufanikiwa unaweza fikikia mama mmoja anauza uji na anasomesha familia lakini kuna kijana anauza mgahaw anakosa hata ela ya ada ni kwasababu anafanya asicho kiamini.asante kwa kunielewa

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author