always kumbukumbu hutukukumbusha ni wapi umetoka.na ni wapi unaelekea usipojua wapi umetoka uwezi ishi poa wapi? Unaelekea that means kama huna kumbukumbu nzuri utakuta unapoteza mipango yako kila siku ndipo unajua kuwa katika maisha haya kumbukumbu niya muhimi sana ili kuepusha kupoteza malengo yako.note. kujua wapi umetoka inakusaidia kujua wapi unakwenda
You must be logged in to post a comment.