Umewah kujiuliza kwanini mimi nafeli na ukakosa majibu maana kila ukiangalia unahisi ni kama upo peke yako jangwani
Lakini watu wengi tumekuwa tuankwama katika kuchukua hatua nime waona watu wengi wakilala mikia familia zao kwamba hawawasaidiii. Jitambue leo hatua moja inawaza kuzaaaa matunda mengi chukua hatua sehem yoyote unayo pitia inasubiri maamuzi yako hatua yako kufanikiwa kwako kamwe usijaribibu kukata taaaa ukipata njia ya kufanya jambo lifanye katika ubora wake kama umesoma chuo na huna kazi usikate tamaa chukua hatua jiajiri. Kwa maisha ya sasa ukisubiri kuajiriwa utafeli maana maisha haya yana taka mtu mpambanaji hakuna jambo rahisi ila ni hatua zianatuoelekea kufanikiwa na maanisha kujiongeza kuna mtu anachoma maandazi leo anauza mtaaa wake tuu lakini kunamwingine anachoma maandazi mabay kuliko hayo anauza mkoa mzima chukua hayua usibakie ulipo asante naitwa kelvin
You must be logged in to post a comment.