Madhara ya zinaa

Madhara ya zinaa ni Kama vile 1.kuondoa ujasiri ,mtu anakosa ujasiri wa kuweza kufanya maamuzi kwenye mambo ya msingi . 2.kukuondolea heshima,thamani au utu wako unashuka kutokana na matendo machafu unayoyafanya. 3.husababisha magonjwa sugu Kama vile ukimwi na mengineyo yatokanayo na ngono Kama kaswende kisonono clamedia no. 4.huleta kuondolewa kwa mungu kwenye maisha ya mtu. 5.HUfungua milango ya majini mahaba kuweza kummiliki myu. 6.Ni chanzo Cha laana kwenye maisha yako 7.pia huchangia kuongeza umaskini kwenye maisha yako.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author