NJIA ZA KUPANGA UZAZI WA MPANGO ASILIA

Njia za KUPANGA UZAZI wa MPANGO asilia no Kama zifuatazo 1.kutumia majivu au unga wa mapapai ,njia hi ni sahihi na salama kwa ajiri ya KUPANGA UZAZI kwa wanandoa ,mama anatakiwa kuchukua mapapai yaliyokomaa vizuri na kukwangua mbegu za ndani Kisha kuzianika kwa muda was siku tatu Hadi nne zikishakauka vizuri unazitwanga ili kupata unga na hatimaye unauchekecha unga na kuhifadhi katika chombo kikavu tayari kwa ajiri ya matumizi. MATUMIZI YAKE: unachota kijiko kimoja Cha chakula na kuchanganya kwenye robo kikombe Cha maji ya uvuguvugu kisha unakunywa kabla ya masaa mawili ya kufanya tendo la ndoa kwa mtu mwenye uzito chini ya kilo 75 Na Kama zinazidi unatumia vijiko viwili vya unga huo ambazo unakuwa salama masaa 24 tuu na ndivyo ilivyo kwenye majivu ya Moto pia Na njia zingne tutaendelea kujifunza taratibu endelea kufuatilia .

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author