Wanawake wengi sana wanajikuta wakizini na haya majini Kila mara . Ngono potofu ni uwezo wa jini mahaba kupenyeza viungo vyake katika mwili wa mwanamke au mwanaume na kuzini naye pasipo hiari yake. Kitendo hiki kinafanyika mara nyingi kwa wanao abudu shetani wanaacha mili yao ikiwa imelaka na kupenyeza ROho zao kwa yeyote wanayetaka kuzini naye . Wanaume na wanawake wengi sana leo wanaamka na kujikuta wakiwa wamezini na viumbe wasivyovijua pasipo sababu yeyote. Na wakati mwingine huupuzia kuona ni ndoto,kumbe sio ndoto ni kitu halisi. Haya majini hupenda kuweka makao yao katika sehemu za Siri . Hivo basi Kuna uhitaji mkubwa wa maombi ili kukomesha Jambo Kama hili katika maisha yetu.
You must be logged in to post a comment.