ROho ya umaskini.

Umaskini umegawanyika katika sehemu kumi na moja 11 ambazo ni : 1.umaskini wa mawazo 2.umaskini wa tabia 3.umaskini wa marafiki 4.umaskini wa hisia 5umaskini uliokithili au wa Kila kitu 6.umaskini wa maono 7.umaskini wa fedha. 8.umaskini wa akili 9.umaskini wa mazingira 10.umaskini wa kurithi 11. Umaskini wa mikono au viungo muhimu vya mwili.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author