ROHO YA ZINAA

ROho ya zinaa imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni Kama ifuatavyo _: 1.uzinzi hiki ni kitendo Cha mwanandoa kutoka nje ya ndoa na kuzini na mme au mke ambaye si wake. 2.uasherati,ni kitendo Cha kujihusisha kufanya mapenzi wakati bado hujafunga ndoa. 3.kupiga punyeto,hiki ni kitendo Cha kutumia vidole au vitu mbadala ili kujiridhisha kimapenzi 4.usagaji,hiki ni kitendo Cha mwanaume au mwanamke kutembea na jinsia yake kwa kufanya tendo la ngono 5.kuzini na wanyama ,mtu kufanya mapenzi na wanyama Kama vile ng'ombe, mbuzi ,nguruwe ,mbwa ,nk

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author