DALILI ZA MTU ALIYESHIKILIWA NA ROHO YA UZIA. 1.Kujandamizwa kazini au jamii inayomzunguka 2.mafarakano kwenye ndoa yake. 3.uhusiano wake umeshikiliwa 4.maisha ya maombi yameshikiliwa 5.karama yake imeshikiliwa. 6.miradi yake yote imeshikiliwa 7.akili za watoto wake zimeshikiliwa 8.amevikwa Giza usoni Ondokana na Tatizo kwa hasira ya roho mtakatifu ya kupigana Vita. Kuokoka na kuishi maisha ya utakatifu.
You must be logged in to post a comment.