Kuna roho kutoka kuzimu,ndio chanzo Cha kuangamiza maisha ya mwanadamu.Ambapo roho hizi zinaweza kuwa mizimu,majini,pia hata swala la uchawi na kwa namna nyingine. Watu tuliowengi huwa tunaona mambo mengine yanayojitokeza katika maisha yetu ni ya kawaida ,kumbe Kuna vitu au mambo mengine sio ya kawaida,Bali Kuna nguvu za Giza ambazo zinaharibu mafanikio ya watu wengi yote haya ni kutokana na wanaoshambuliwa hawajafahamu chanzo Cha hayo majanga au matatizo. Kwa upendo huu nitawafunulia baadhi ya roho ambazo zinawasumbua wanadamu na dalili zake Kama ifuatavyo:
You must be logged in to post a comment.