Umaskini wa mawazo

Huu ni umaskini mbaya sana ,watu wengine wanapesa,lakini hawana hawana mawazo mapya.umaskini wa mawazo no mbaya kuliko umaskini wa Mali ."mwisho wa mawazo yako ndio mwanzo wa matatizo yako".Tatizo la matajiri wengi ni kutokuwa na mawazo mapya japokuwa wanafedha nyingi sana.Hii no kutokana na mapepo yaliyogunga akili za watu ili wasiwe na mawazo mapya.mawazo mapya yanatoka kwa mungu hivyobasi inapaswa tumuombe sana mungu atupe mawazo mapya .Kuna kauli inasema mwenye mawazo Hana pesa na mwenye pesa Hana mawazo tujitafakari Kila mtu kwa nafasi yake yupoje Kisha kuchukua hatua.

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments
Jude - Feb 3, 2022, 2:34 PM - Add Reply

Good

You must be logged in to post a comment.

You must be logged in to post a comment.

About Author